Husaidia kuboresha mkao wa mwili (posture correction)
Husaidia kunyoosha mgongo na mabega
Husaidia kupunguza maumivu ya mgongo na mabega
Husaidia kurekebisha tabia ya kuinama
Hutoa support kwenye upper back na spine
Husaidia kupunguza uchovu wa mgongo wakati wa kazi au kukaa muda mrefu
Inafaa kwa wanaume na wanawake
Huvaliwa kwa urahisi chini ya nguo
Straps zake zinaweza kurekebishwa kulingana na ukubwa wa mwili
Inafaa kwa matumizi ya ofisini, nyumbani, gym au safari
Aina: Back Brace / Posture Corrector
Matumizi: Daily posture support
Wanaofaa: Women & Men
Feature: Adjustable & Comfortable Design
📦 Chagua Idadi ya Bidhaa: