Double Battery System – Inakuja na betri 2 za rechargeable kwa matumizi ya muda mrefu bila kukatika.
Cordless Design – Haina waya, rahisi kubeba na kutumia sehemu yoyote.
High Pressure Water Spray – Hutoa maji kwa pressure kubwa kusaidia usafishaji wa haraka.
Multi-Purpose Use – Inafaa kwa kuosha gari, pikipiki, madirisha, bustani, sakafu na vifaa vya nje.
Adjustable Nozzle – Ina nozzle zinazobadilika kwa aina tofauti za spray za maji.
Portable & Lightweight – Nyepesi na rahisi kubeba au kuhifadhi.
Rechargeable Battery – Betri huweza kuchajiwa tena kwa matumizi ya mara kwa mara.
Water Suction Hose – Ina hose ya kuvuta maji kutoka bucket, tank au source nyingine ya maji.
Foam Bottle Support – Baadhi ya models huja na bottle la sabuni kwa car wash rahisi.
Easy Installation – Rahisi kuunganisha na kutumia ndani ya dakika chache.
1× Electric Water Spray Gun
2× Rechargeable Batteries
1× Charger
1× Water Hose
1× Adjustable Nozzle Set
1× Foam Bottle (kwa baadhi ya models)
📦 Chagua Idadi ya Bidhaa: