Rotating Sprinklers – Huzunguka kusambaza maji kwa eneo kubwa la bustani au lawn.
Oscillating Sprinklers – Hutoa maji kwa mtindo wa kushoto na kulia, yanafaa kwa maeneo ya rectangular/square.
Circular Sprinklers – Hunyunyiza maji kwa mzunguko wa duara kwa coverage ya kati hadi kubwa.
Impulse/Impact Sprinklers – Yenye pressure kubwa kwa kumwagilia maeneo makubwa ya bustani au mashamba madogo.
Spike Base Sprinklers – Huja na spike ya kuchomeka ardhini kwa matumizi rahisi bustanini.
Tripod Sprinklers – Huinuliwa juu kwa coverage pana zaidi, yanafaa kwa mimea mirefu au lawn kubwa.
Adjustable Pattern Sprinklers – Unaweza kubadilisha angle au pattern ya maji kulingana na eneo.
Multi-Pattern Sprinklers – Zina pattern mbalimbali za kunyunyiza maji kwa matumizi tofauti ya bustani.
Pop-Up Sprinklers – Hufichwa ardhini na hujitokeza wakati wa kumwagilia (automatic irrigation systems).
Smart Sprinklers – Zinadhibitiwa kwa app/timer kwa umwagiliaji wa kisasa na kuokoa maji.
Drip/Micro Sprinklers – Hutoa maji kidogo moja kwa moja kwenye mizizi ya mimea kwa ufanisi mkubwa wa maji.
Motion Activated Sprinklers – Hutumika pia kufukuza wanyama waharibifu bustanini kwa sensor ya movement.
📦 Chagua Idadi ya Bidhaa: