Husaidia kuchochea ukuaji wa nywele mpya
Husaidia kupunguza upotevu wa nywele (hair loss)
Husaidia kuimarisha mizizi ya nywele
Husaidia kujaza maeneo yenye nywele chache au upara
Husaidia kuongeza unene wa nywele
Husaidia kuboresha afya ya scalp (ngozi ya kichwa)
Paka/spray kiasi kinachohitajika kwenye sehemu ya scalp yenye tatizo
Massage taratibu kwa dakika chache
Tumia mara kwa mara kulingana na maelekezo ya bidhaa
Epuka kuosha nywele mara moja baada ya kutumia
Ujazo: 60ML
Aina: Hair Treatment / Hair Growth Solution
Matumizi: Wanaume na wanawake wenye changamoto ya nywele kupungua au kutoota vizuri
📦 Chagua Idadi ya Bidhaa: