Husaidia kupunguza maumivu ya misuli na viungo
Husaidia kupunguza maumivu ya mgongo, mabega, shingo na miguu
Hutoa hisia ya baridi/joto kwa faraja ya haraka (hutegemea aina ya spray)
Husaidia kupunguza maumivu yanayotokana na uchovu wa mwili
Hufaa kwa sprain, strain na muscle stiffness
Rahisi kutumia kwa spray moja kwa moja kwenye eneo lenye maumivu
Hufyonzwa haraka kwenye ngozi bila usumbufu mkubwa
Inafaa kwa wanaume na wanawake
Rahisi kubeba kwa matumizi ya nyumbani, ofisini au safari
Tikisa chupa kabla ya kutumia
Spray kwenye eneo lenye maumivu
Massage taratibu (ikiwa maelekezo ya bidhaa yanaruhusu)
Tumia mara kadhaa kwa siku kulingana na maelekezo
Kwa matumizi ya nje tu
Epuka kugusa macho, vidonda au ngozi iliyojeruhiwa
Osha mikono baada ya matumizi
Sitisha matumizi ikiwa kuna muwasho au allergy
📦 Chagua Idadi ya Bidhaa: