Husaidia kusafisha nywele na scalp kwa upole
Husaidia kuimarisha mizizi ya nywele
Husaidia kupunguza kupukutika kwa nywele
Husaidia kuchochea ukuaji wa nywele
Husaidia kuongeza unene na afya ya nywele
Ina mchanganyiko wa Ginseng, Shouwu (Polygonum) na Ginger extracts
Husaidia kulainisha na kufanya nywele ziwe na muonekano mzuri
Husaidia kuondoa uchafu na mafuta kwenye scalp
Inafaa kwa wanaume na wanawake
Inafaa kwa matumizi ya kila siku au mara kwa mara kulingana na hitaji
Lowanisha nywele kwa maji
Weka kiasi kidogo cha shampoo kwenye scalp
Massage taratibu kwa dakika chache
Acha kwa muda mfupi kisha suuza kwa maji safi
Tumia mara kwa mara kwa matokeo bora
Aina: Hair Care / Shampoo
Ingredients Kuu: Ginseng, Shouwu (Polygonum), Ginger
Matumizi: Hair strengthening & scalp care
Wanaofaa: Women & Men
📦 Chagua Idadi ya Bidhaa: